MWENYEKITI wa ZFA Wilaya ya Mjini Hassan Chura, akimkabidhi Kombe Kiongozi wa timu ya Mashabiki wa Arsenal kwa kuifunga Barcelona 1-0
KIONGOZI wa timu ya mashabiki wa Arsenal Andrey Arshavin akiwa na kombe la michuano hiyo iliofanyika Uwanja wa Mao na kushirikisha timu Nne za Ulaya.
WACHEZAJI wa timu ya Mashabiki wa timu ya Arsenal wakishangilia Ubingwa wao baada ya kuifunga timu ya Mashabiki wa Barcelona katika Bonaza liliondaliwa na Kituo cha Redio cha
WACHEZAJI wa Arsenal wakishangilia Ubingwa wao dhidi ya Barcelona KIONGOZI wa timu ya Mashabiki wa Barcelona Ali Chauchau akipokea Kombe la Mshindi wa Pili wa Bonaza la Mashabiki wa timu za Ulaya kutoka kwa Mwenyekiti wa ZFA Wilaya ya Mjini Hassan Chura, lililofanyika Uwanja wa Mao
WACHEZAJI wa Barcelona wakiwa na Kionmgozi wao baada ya kukabidhiwa Kombe la Ushindi wa Pili WACHEZAJI wa timu ya Mashabiki wa Barcelona Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa kombe la Ushindi wa Pili.
WACHEZAJI wa timu ya Barcelona wakipanda jukwaani kusalimiana na Mwenyekiti wa ZFA Wilaya ya Mjini Hassan Chura.
WACHEZAJI timu ya ManUnited na Arsenal wakiwanai mpira katika mchezo wa Bonaza la Mashabiki wa timu hzo Zanzibar.
MDAU wa Cloud FM Sofia Kessy akifanya vitu vyake huku michuano ya Bonanza la Mashabiki wa timu za Ulaya likiendelea katika uwanja wa Mao akiwa amefalia jezi ya timu Fulani CH......, akiwa na Helen Kazimoto.
MWANAMKE pekee aliyeshiriki michezo ya Bonaza la mashabiki wa timu za Ulaya Sabaha Hshim akichezea timu ya Barcelona, akimpita beki wa timu liverpool timu yake imeishinda 1-0
MASHABIKI wakifuatilia timu zao katika mchezo wa Bonanza la timu za Mashabiki wa timu za Ulaya lilofanyika uwanja wa Moa.
MCHEZAJI timu ya Mashabiki wa Man U Hassan Banda akimpiga chenga kipa watimu ya Real Ali Juma timu ya ManU imeshinda kwa 2-0.
Hassan Banda wa Man U na Eddy Loti wa Real M wakiwania Mpira katika mchezo huo wa mashabiki wa timu za Ulaya Zanzibar, timu ya Man U imeshinda kwa peneti 2-0
WACHEZAJI na Mashabiki wa timu ya Arsenal wakishangilia baada ya kuifunga timu ya mashabiki wa Barcelona kwa bao 1-0.
No comments:
Post a Comment