Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Madakatari kutoka China waliomaliza muda wao wa kazi hapa Nchini,walipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na kiongozi wa Ujumbe wa Madakatari kutoka China waliomaliza muda wao wa kazi hapa Nchini,Xiang Jim,(kushoto) na Balozi Mdogo wa Cina anayishi Zanzibar Chen Yiman, walipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na madaktari wa kichina waliomaliza muda wao wa kazi hapa nchini,walipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment