Habari za Punde

INDONESIA YATOA WATAALAM WA KILIMO CHA MPUNGA ZANZIBAR

 WAZIRI wa Kilimo na Maliasili Zanzibar Mansoor Yussuf Himid akizungumza na Balozi wa Indonesia Yudhi Stiranto Sungudi akiwa na Ujumbe wa Wataalam wa Kilimo cha Mpunga  wakiwa na mazungumzo na Waziri walipofika Ofisini kwake Darajani kujitambulisha leo.
 BALOZI wa Indonesia Yudhi Stiranto Sungadi akizugumza na Waziri wa Kilimo na Maliasili Zanzibar Mansoor Yussuf Himid alipofika katika Ofisi za Wizara hiyo Darajani. akiwa na Ujumbe wa Wataalamu wa Kilimo cha Mpunga wa  Umwagiliaji Maji
   

 NAIBU Katibu Mkuu wa Kilimo na Maliasili Juma Abdalla akichangia kitaalam  Kilimo cha Umwagiliaji wakati wa Mazungumzo na Balozi wa Indonesia na Ujumbe wake wa Wataalam wa Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.