Habari za Punde

SHAGGY AKIWAPAGAISHA WAZENJ KATIKA TAMASHA LA 14 LA NCHI ZA JANAZI UKUMBI WA MAMBO CLUB NGOMEKONGWE.

MWANAMUZIKI Shaggy akizungumza na waandishi wa habari  katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach  alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutowa burudani katika Tamasha la 14 la Nchi za Jahazi Zanzibar.  
MKURUGENZI wa ZIFF Martin Mhando akitowa maelezo ya ujio wa mwanamuzi kutoka Marekani Shaggy alipokuwa akizungumza na Waandishi katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Mazizini nje kidogo ua Mji wa Zanzibar. 
MWANAMUZI Shaggy akisaini kitabu cha wageni katika hoteli ya Zanzibar Beach kabla ya kuogea na waandishi kutokana na Onesho lake usiku wa jana.
MASHARUBARO wakiwa nia picha kwa ajili ya kumbukumbu alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach kwa mahojiano na Waandishi.

SHAGGY akilishambulia Jukwaa  la ZIFF  akitowa burudani kwa  wapanzi wake waliofika kumuona katika ukumbi wa mambo club, kiingilio cha onesho hilo kilikuwa shillingi 15,000/= 

HIVI ndivyo ilivyokuwa katika Ukumbi wa Mambo Club usiku wa jana kwa wapenzi wa Shaggy.
WAPENZI wa muziki wakimshangilia Msanii Shaggy akifanya vitu vyake katika Ukumbi wa Mambo Club.

KUMEKUCHA Mambo Club Ngome Kongwe jana Usiku wa Wapenzi wa Shaggy ndani ya Zenj. 
WADAU wa Muziki katika Visiwa vya  Marashi ya Karafuu Zenj wakishangilia katika Tamasha hilo jana usiku.



MAMBO ndani ya NgomeKongwe ilivyokuwa katika Tamasha la 14 la ZIFF Zanzibar.














WASANI wa THT wakionesha umahiri wa kuchezo miziki ya aina zoke wakilishambulia jukwaa la Mambo Club NgomeKongwe.  
MDAU na wewe Unaweza kama hivi ndivyo inavyonakana wakisema wasanii hawa  wa THT Dancer 

WAKALI wa kudensi wa THT wakilishambulia jukwaa la ZIFF jana usiku ukumbi wa Mambo Club. 

MSANII Baby J. nae aliwapagaisha wapenzi wake wa Muziki alivyoonesha umahiri wake wa muziki wa Kizazi Kipya Zenj.

BABY J akifanya vitu vyake  akionesha ukali wake katika Tamasha la Ziff ukumbi wa Mambo Club jana Usiku.




SULTAN King nae hakuwa nyuma kutowa burudani katika Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar.
MASHAROBARO wakionesha  show katika tamasha la Nchi za Jahazi wakati mwanamuziki kutoka Marekani Sheggy akifanya mavitu yake.

HAWA wadau wa kuchukuwa sura katika  minuso wakitabasamu baada ya kumaliza kazi yao kwa usalama bila ya kutowa dosari kwa wapenzi wao katika Luninga zao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.