Habari za Punde

ZIARA YA DK SHEIN PEMBA

 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed  Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Zipa Salum Khamis Nassor alipofika katika maeneo huru Maziwa Ng'ombe, Wilaya ya Micheweni.

 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed  Shein, akikagua hatua za Ujenzi wa bara bara ya Kenya –Chambani,Wilaya ya Mkoani Pemba,akiwa katika ziara maalun kuangalia miaradi mbali mbali ya maendeleo,katika Mkoa wa Kusini Pemba
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed  Shein, akisalimiana na wafanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kenya-Chambani,(kwa Mtoro),alipotembelea hatua za kazi za  hiyo,akiwa katika ziara  Kisiwani Pemba,kuangali maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed  Shein, akiwasalimia Wazee na wanafunzi,alipowasili katika maeneo ya Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Sekondari  Wilaya Ngwachani,Wilaya ya Mkoani Pemba,akiwa  katika ziara  zake za kuangali maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia ni Uzinduzi wa Madarasa mapya Skuli ya Kizimbani Pemba
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed  Shein, akipata maelezo kutoka kwa Afisa kilimo Ali Mohamed Omar,katika Bonde la Mpunga kwa Kichwa,Ukutini Pemba ,wakati alipofika kuona maendeleo ya kilimo katika bonde hilo,sambamba na ziara zake katika Wilaya ya Mkoani Pemba kuona maendeleo ya miradi  mbali mbali
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed  Shein, akifurahia wimbo ulioimbwa na wanafunzi wa  Skuli ya Sekondari ya Ukutini Pemba, wakati alipofika kuona maendeleo ya Ujenzi wa Skuli  hiyo,akiwa katika ziara  Kisiwani humo,kuangalia  maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Ukutini Pemba,Maalim Ali Hussein,wakati alipofika kuona maendeleo ya Ujenzi wa Skuli hiyo,akiwa katika ziara Kisiwani humo,kuangali maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii

Picha na Ramadhan Othman, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.