MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif akimsikiliza Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa ZanZibar Kepteni Said, kabla ya kuaza ziara yake kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar akiwa katika ziara ya kutembelea uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif akizungumza na Maofisa wa Kikosi cha Zimamoto kinachotowa huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar akiwa katika ziara yake Uwanja wa Ndege wa Zanzibarkushoto Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Hamad Masoud.
MKURUGENZI wa Kampuni ya ZAT inayotowa huduma ya Mizigo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Mohammed Raza.
No comments:
Post a Comment