Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisomahotuba yake wakati wa uzinduzi wa Huduma Global Standard GS1 nchini Tanzania, ‘Mfumowa utambuzi wa Bidhaa’Uliozinduliwa leo Julai 04, 2011 kwenye Viwanja vyaJulius Nyerere Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akikata utepe kuzindua rasmi huduma mpya ya Mfumo wa Utambuzi wa BidhaaTanzania, (Global Standard 1 ), wakati wa uzinduzi huo uliofanyika kwenyeViwanja vya Mwalimu Julius Nyerere leo Julai 04, 2011
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad,wakati walipokutana kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere katika Maonyeshoya 35 ya Biashara ya Kimataifa leo Julai 04, 2011
Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed Gharib Biala,akisikiliza maelezo ya mjasiliamali, Angela John, kuhusu mashine ya Kusokota,wakati alipotembelea katika Banda la Sido kwenye Maonyesho ya 35 ya Biashara yaKimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere
Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya PowerElectronics & Controls Ltd, Kayungi Kayungi, kuhusu Mashine ndogo inayozalishaUmeme kwa kutumia maji, wakati alipotembelea Banda la Sido kwenye Maonyesho ya35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu JuliusNyerere Dar es Salaam. Picha zote na Muhidin Sufiani
No comments:
Post a Comment