Habari za Punde

DKT BILAL AAGA MWILI WA MAREHEMU PROFESA MUSHI

 Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitiasaini katika kitabu cha maombolezo ya marehemu Profesa, Samuel Mushi,aliyefariki wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Shughuli za maziko na kuagamwili wa marehemu zilifanyika kwenye Ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar esSalaam leo Julai 27, 2011
 Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoaheshima ya mwisho mbele ya jeneza lenye mwili ya Marehemu Profesa Samuel Mushi,wakati alipofika katika shughuli ya kuaga iliyofanyika kwenye Ukumbi waNkurumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo Julai 27, 2011
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiwafariji wanafamilia ya marehemu Profesa Samuel Mushi, alipofika kuaga mwilikatika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo Julai 27, 2011.

Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.