Habari za Punde

WANAFUNZO WA SKULI YA SEKONDARI YA VIKOKOTONI WAKIUKARIBISHA MWEZI WA RAMADHANI

 SHEKH Mselemu Ali akitowa  mhadhara  kwa Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Vikokotoni  kwa ajili ya kutowa mafunzo ya Mfungo wa Ramadhani, unaotarajiwa kuaza mwazoni mwa mwezi wa Nane. 
 WANAFUNZI wa Skuli ya Vikokotoni wakimsikiliza Shekh. Mselem Ali akitowa  mawaidha  ya dini ya Kiislam kwa Wanafunzi hao ikiwa ni moja ya Maandalizi ya kuukaribisha mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kutowa mafunzo ya dini, mdahalo huo umeandaliwa na Uongozi wa skuli hiyo uliofanyika katika viwanja vyao. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.