Habari za Punde

BALOZI SEIF AKIWA KISIWANI PEMBA




Kikao Alichokitayarisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe Balozi Seif Ali Iddi kwa Viongozi wa Serikali waliokuwepo kisiwani Pemba chenye lengo la kuweka mikakati ya kukabiliana na upokeaji wa wahanga wa ajali ya Meli ya MV Spice Islanders. Wamekubaliana kuweka vituo vya dharura katika maeneo ya Mkoani,Chakechake na Wete ili kupokea watu waliopatwa na maafa kuwapatia huduma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.