Habari za Punde

BENKI YA CRDB YATOWA MCHANGO WAO KWA WAATHIRIKA AJALI YA MELI KWA KAMATI YA MAAFA ZANZIBAR.

 MKURUGENZI wa Masoko wa Benki ya CRDB Tanzania Tully Esther Mwambapa akimkabidhi cheki ya shilingi Milioni kumi. Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya waathirika wa janga la ajali ya meli ilioyotokea Nungwi
 MKURUGENZI wa Masoko wa Benki ya CRDB TanzaniaTully Esther Mwambapa akitowa salamu za rambirambi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.