Habari za Punde

MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AKIKABIDHI MSAADA KWA MAKAMU WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI KWA WAHANGA WA AJALI.

 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea mchango wa Fedha shilingi milioni tano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe, kwa ajili ya Waathirika wa ajali ya Meli iliotokea usiku wa tarehe 9-9-2011 katika bahari ya Nungwi. 
 MAKAMU wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akitowa shukrani kwa msaada uliotolewa na Chama cha CHADEMA Tanzania.
 MWENYEKITI wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe akitowa rambirambi za Chama chake kwa wahanga wa ajali ya meli alipofika Ofisi ya Mamaku wa Pili wa Rais kutowa rambimrambi leo.

WADAU wa habari wakiwa kazi ili kupata habari na kuwahabarisha wananchi jinsi zoezi la hilo linavyokuwa na michango inayotolewa. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.