MAMKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea msaada wa Jumuiya ya Umoja wa Kiislam Uchumi na Maendeleo akikabidhi mwakilishi wake Sheikh. Talib Juma Ali, alipofika Ofisi ya Makamu Vuga Leo.
MAMAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitowa shukrani kwa umoja huo kwa msaada wao kwaWananchi waliopata janga hilo.
WAANDISHI wa habari wakiwa katika makabidhiano ya misaada hiyo.
No comments:
Post a Comment