
INNAA LILAHI WAINNAA ILAYHI RAAJI'UNN
Taarifa tulizozipokea ni kwamba Meli ya Spice Islands imezama ikiwa safarini kuelekea Pemba kutoka Unguja maeneo ya Nungwi Saa tisa za usiku.
Meli hii ambayo hubeba abiria na mizigo inasemekana ilikuwa na abiria 610 waliosajiliwa na hadi hivi sasa hatuna habari ya kama kuna watu waliookolewa.
Tutawajuulisha zaidi tutakapopata taarifa
No comments:
Post a Comment