Habari za Punde

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS MAALIM SEIF SHARIFF ZIARANI MKOANI TABORA.


MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad akiwapungia mkono wananchi wa Tabora alipowasili mkoani humu kwa ziara   (Picha na OMKR)     

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff akiwahutubia Wananchi wa Tabora alipokuwa katika ziara mkoani humo.(Picha na OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.