Assalaamu Alaykum
Wadau wa Oostende Belgium beach tunatoa salamu za rambirambi kwa ajali ya meli iliyotokea visiwani zanzibar ya Mv Spice Islanders tunawapa pole kila aliyefikwa na janga hili
Tunawaombea majeruhi wapone haraka na wale wote waliopoteza maisha mungu azilaze roho zao mahali pema peponi amini
Na wafiwa mungu awape subra katika kipindi hiki kigumu cha msiba
Amin.
No comments:
Post a Comment