WAFANYABIASHARA ya vitu vya kuchezea watoto wakipanga bidhaa hiyo katika viwanja vya mnazi mmoja ili kuwauzia watoto kila kimoja huuzwa shingili 1000/=
WAZAZI wakiwa na watoto wao wakienda katika viwanja vya sikukuu.
MAMBO ya kusherehekea sikukuu ua Eid El Fitri
MAMBO ya kubembea katika Bustani ya Jamuhuri watoto wakiwa katika moja ya Pembea ziliokoa katika bustani hiyo.
WATOTO wakisherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri katika viwanja vya bustani ya Jamuhuri Zanzibar.
No comments:
Post a Comment