RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Idara maalum ya Vikosi vya SMZ, iliyochini ya Wizara ya nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ,Ikulu Mjini Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wakuu wa vikosi vya SMZ,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,walipokuwa na mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein leo.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment