Habari za Punde

WAWAKILISHI KUTOKA TAASISI ZA KIBALOZI WATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO NCHINI MALAYSIA

Baadhi ya Wawakilishi wa Jumuiya za Kibalozi na wawakilishi kutoka Serikali ya Malaysia waliofika kutia saini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania Kuala Lumpur Malaysia.


Mwakilishi kutoka Imternational Islamic University Malaysia, Dr Kassim
Mwakilishi kutoka Malaysia akisalimiana na Ofisa ubalozi
Mwakilishi kutoka South Africa akitia saini kitabu cha maombolezo
Mwakilishi kutoka Syria akitia saini kitabu cha maombolezo

Mwakilishi kutoka China akitia saini kitabu cha maombolezo
Mwakilishi kutoka Canada akitia saini kitabu cha maombolezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.