Maalim Seif akikaribishwa kwenye mazungumzo na Katibu wa Idara ya IT&C Sunjay Jaju kwenye Hoteli ya Grand Kakatiya Hyderabad. India
Maalim Seif akipewa zawadi na Pannala Lakshamaia wa idara ya IT&C
Maalim Seif akizungumza kwenye mkutano na Viongozi wa Wizara ya IT& C (Information Technology and Communication). Kulia ni Waziri wa Wizara hiyo Dk Rita Geddy. Kushoto ni Balozi wa Tanania nchini India.
Picha na Salmin Said OMKR
No comments:
Post a Comment