Kwa habari zilozotolewa na Familia ya Marehemu.
Maziko ya Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Television cha ITV na Nipashe Zanzibar, Maulid Hamad anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwao Bumbwini Misufini saa nne Asubuhi, maiti itaondokea Msikiti mpya wa Kwamchina.
No comments:
Post a Comment