Mchezaji wa timu ya Chuoni Adam Hamad,(kushoto) na beki wa timu ya Miembeni United Amour Suleiman, wakiwania mpira.
Mchezaji wa timu ya Chuoni Issa Hamad,akimiliki mpira mbele ya beki wa timu ya Miembeni United, katika mchezo wa ligi kuu yaSeaGull.
Viongozi wa timu ya Chuoni wakiwa katika benchi lao wakipingwa na mshangao hawaani matokeo ya mchezo huo baada ya kufungwa gali moja na timu ya Miembeni United.
Wachezaji wa timu ya Chuoni na Miembeni United, wakiwania mpira katika Mchezo wa Ligi Kuu ya SeaGull. uliofanyika uwanja wa Ma, timu ya Miembeni United imeshinda 1-0.
Mshambuliaji wa timu ya Chuoni Shah Hassan, akijaribu kumpita beki wa timu ya Miembeni United Yussuf Seif, katika mchezo wa Ligi Kuu ya SeaGull.uliofanyika uwanja wa Mao.timu hiyo imeshinda 1-0.
Golikipa wa timu ya Chuoni Ali Suleiman akiokoa moja ya mashambulizi langoni kwake.mabiki wake wakiwa tayari kumsaidia mshambuliaji wa timu ya Miembeni United Maulid Ibrahim Kapenta jezi 12.akijianda.
Mshambuliaji wa timu ya Chuoni Makame Ussi,(Vigema) amkimpita beki wa timu ya Miembeni United Yussuf Seif, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Seagull, mchezo uliofanyika uwanja wa Mao.
Mchezaji wa timu ya Chuoni Issa Saleh,akimtoka mchezaji wa timu ya Miembeni United Issa Othman,(kulia)katika mchezo wa ligi Kuu ya SeaGull, uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Miembeni United imeshinda 1-0.
No comments:
Post a Comment