Habari za Punde

MKUTANO MKUU WA CCM WAENDELEA DODOMA

Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,unaofanyika Mjini Dodoma katika ukumbi wa White House,wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama hicho Dk jakaya kikwete alipokuwa akifungua mkutano huo wa siku mbili unaojadili mambo mbali mbali ya uimarishaji wa chama.

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk jakaya Mrisho Kikwete,(wa tatu kulia) kwa pamoja na viongozi wengine,wakisheherekea katika ukumbi wa Mkutano kabla ya kuanza kwa kikao cha Halamashauri Kuu ya CCM Taifa,hapo jana Mjini Dodoma

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Wilson Mkama akisoma utaratibu wa kikao cha Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa unaofanyika katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma,chini ya Mwenyekiti wake Dk Jakaya Mrisho Kikwete,(wapili kulia)

Picha na Ramadhan Othman, Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.