Habari za Punde

MWONEKANO MPYA WA SOKONI CHAKECHAKE



KITUO cha gari za abiria cha Soko Kuu la Chakechake Pemba ambacho kilikiwa na msongamano na Wafanyabiashara mbalimbali na kuwa kero kwa watumiaji wa kituo hicho, kwa sasa Baraza la Manispaa la mji wa Chake, imebidi kuwondoa wafanyabiashara na kuwa na hudumo moja tu ya kushusha abiria tu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.