Habari za Punde

BIASHARA POPOTE PALE - SHERIA JE?

Ongezeko la Biashara mbalimbali katika Visiwa vya Zanzibar na kutokuwa na maeneo ya kudumu ya kufanyia biashara na maeneo yaliotengwa katika eneo la Saateni kuna baadhi ya wafanyabiashara hufanya biashara sehemu zisizoruhusiwa kufanya biashara katika Mji Mkongwe wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.