Msanii Bwana Busara akiwajibika wakati wa uzinduzi wa Tigo Pesa
Msanii Dida akimwaga mavituuz katika TIGO PESA
Msanii Ima Skoo nae alikuwepo
Msanii Ison Star akimwaga mistari kama hana akili vizuri. Yote ni katika TIGO PESA PROMOTION
Msema Chochotge MC akitoa vidonge aka dozi katika uzinduzi wa PROMOSHENI YA TIGO PESA
Huyu anaitwa Chidi Short kutoka Juoiter Studio
Msanii King Sultani akimwaga sera
Hawa wanakwenda na jina la Wasanii wa Mandevu
The one and only Rico Single. Cheki umati ulivyotulia ukisikiliza mistari
No comments:
Post a Comment