Habari za Punde

DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA ZIARANI NCHI ZA FALME ZA KIARABU.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea ziarani Nchi za Falme za Kiarabu.  
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Watoto walioandaliwa kwa ajili ya kuvisha Maua alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea akiwasili akitokea ziarani Nchi za Falme za Kiarabu.

 WAANDISHI wa habari wakichukuwa picha wakati wa Rais wa Zanzibar akizungumza na Waandishi alipowasili Zanzibar akitokea Ziarani Nchi za Falme za Kiarabu alikuwa na ziara ya wiki moja.
 WAANDISHI wa habari wakimsikiliza Rais wa Zanzibar akielezea mafanikio ya Ziara yake, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa Habari Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.