Habari za Punde

ZIARA YA RAIS DK SHEIN SHARJAH (UAE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa jumuiya ya wafanyabiashara na wenye viwanda wa Ras Al Khaimah,Mjini Sharjah,(kulia) ni Mwenyekiti Ahmed Mohammed Al Midfa, na (kushoto) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko, Mhe Ahmed Mazrui.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mhe Sheikh Sultan Mohamed Al Qasimi,alipowasili katika makaazi yake Mjini Sharja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia baadhi ya vifaa , alipotembelea kuona mambo ya kihistoria wakati alipotembelea kumbusho la Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah,Mjini Sharjah,(kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa kumbusho Ali Almarri
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo alipotembelea kuona mabo ya kihistoria kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kumbusho Ali Almarri,wakati alipotembelea kumbusho la Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah,Mjini Sharjah.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kumbusho Ali Almarri,wakati alipotembelea kumbusho la Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah,Mjini Sharjah
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kumbusho Ali Almarri,wakati alipotembelea kumbusho la Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah,Mjini Sharjah
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Makamo Mkuu wa Chuo cha Afya ya Sayansi,Prof.Hassam Hamdy,(kushoto) na (kulia) Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,Meneja Mkuu wa Ofisi ya Mfalme,alipotembelea katika chumba mafunzo ya udakatari Chuoni hapo Mjini Sharjah

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mhe Sheikh Sultan Mohamed Al Qasimi,alipowasili katika makaazi yake Mjini Sharjah

1 comment:

  1. Waziri wa Biashara ni Nassor Mazrui na sio Ahmed Mazrui.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.