Habari za Punde

BENKI YA WATU WA ZANZIBAR YAIPA TAFU ZATI.

MKURUGENZI wa Huduma za Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Said Mohamed Said kushoto,akimkabidhi mfano wa hundi ya Shiligi Milioni Saba na Laki tano,Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara ya Utalii Zanzibar (ZATI) Ahmed Abdulswamad kwa ajili ya kudhamini mkutano mkuu wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo hapa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.