Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Mhe Masoud Hamad Masoud, alipotembelea Barabara ya
Mizingani-Wambaa Mkoa wa Kusini Pemba leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na wafayakazi wa ujenzi wa barabara ya Chanjamjawiri –Tundauwa,inayojengwa na Idara ya ujenzi ya Wizara ya Miundombinu kwa mashirikiano na ufadhili wa Norway.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mahamed Shein,akizungmza na Msaidizi Meneja ZSTC Pemba Hamad Khamis Hamad, alipofanya ziara ya kutembelea maghala ya karafuu Mkoani Pemba jana,pia kujua matatizo katika utekezaji wa zao hilo la Uchumi wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiuliza suala kwa Msaidizi Meneja wa ZSTC Pemba Hamad Khamis Hamad, alipotembelea maghala ya karafuu MKoa wa Kusini
Pemba huko Bandarini ya Mkoani leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akimpa maelekezo Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Mhe Masoud Hamad Masoud,alipotembelea Barabara ya Mizingani -Wambaa Mkoa wa Kusini Pemba,alpokuwa katika ziara maalum kisiwani humo.
No comments:
Post a Comment