Beki wa timu ya Majimaji Ayoub Shaban(kushoto) na Mshambuliaji wa timu ya Sicco Khamin Ussi, wakiwania mpira, katika mchezo wa ligi Daraja la Pili Wilaya ya Mjini inayofanyika uwanja wa Mao.timu ya majimaji imeshinda 1-0.
TBS Yatoa Mafunzo kwa Waokaji Kuhusu Ubora wa Bidhaa
-
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka waokaji wa mikate nchini
kuhakikisha wanazingatia viwango vya ubora na usalama wa chakula ili
kulinda afya za ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment