Habari za Punde

MVUA ZA VULI ZINAZOENDELEA KUNYESHA KATIKA MJINI WA ZANZIBAR

Wanafunzi wakichezea maji ya Mvua katika maeneo ya Amani, wakati wakitoka Skuli, baada ya kumalizika kwa mvua iliokuwa ikinyesha kwa muida wa dakika 45 na kusababisha kujaa kwa maji katika eneo hilo na kufanya mchezo bila ya kujali afya yao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.