Habari za Punde

MWENYEKITI WA KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA PROFESA CHRIS MAINA


Mwenyekiti wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, Profesa Chris Maina Peter (Kushoto) akisisitiza Jambo Katika Mazungumzo Yake na Kaimu Mkurugenzi Wa Kituo Hicho, Harusi Miraji Mpatani Baada ya Mazungumzo na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Makungu wa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud katika kuimarisha mahusiano na Taasisi hizo za Sheria.

Picha Na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.