Habari za Punde

RAIS MSTAAFU WA MAREKANI GEORGE BUSH AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU


Rais Jakaya Kikwete akipongezwa leo na Rais Mstaafu wa Marekani Mh George W. Bush kwa sera nzuri za serikali yake kuhusu huduma za afya nchini hasa hasa juhudi zinazofanyika kudhibiti malaria, ukimwi na saratani Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.