Habari za Punde

WANANCHI WAKIANGALIA MOJA YA GARI ILIOPATA AJALI MICHENZANI

 Wananchi wakiangalia moja ya gari liliongongana na Daladala ya njia ya Amani, katika barabara ya Michezani mkabala na Skuli ya Kisuwandui, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyefariki, dereva wa hari hii amepata michubuko kichwani.   

Askari wa Usalama barabarani akipima, eneo lililotokea ajali kwa ajili ya uchunguzi wa kiusalama.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.