Habari za Punde

WATOTO WAKIWA KATIKA VIWANJA MBALIMBALI WAKISHEREHEKEA KRISMAS ZANZIBAR.

 Wazee na Familia zao wakiwa katika Ufukwe wa pwani ya Foromchanga wakiogelea ikiwa ni moja ya kusherehekea sikukuu ya Krismas.
 Mambo ya kuogolea hayooo..... ndani ya beach ya Foro ikiwa ni sherehe za Krismas Zanzibar.
 Watoto wakicheza katika bustani ya Forodhani wakijumuika na Watoto wezao Duniani kusherehekea sikukuu ya Krismas.
 Wakiwa wamependeza wakipata upepo wa bahari katika viwanja vya bustani ya Forodhani.
 Watoto wakibembea katika viwanja vya bustani ya Jamhuri Weles wakiwa kusherehekea sikukuu ya Krismas.
Watoto wakicheza Pool katika viwanja vya Bustani ya Jamuhuri Weles. 
Watoto wakiwa katika michezo mbalimbali katika bustani ya Jamuhuri.wakisherehekea Krismas. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.