Habari za Punde

Dk Shein Akutana na Watendaji wa Wizara za Afya na Kazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na watendaji wa Wizara Afya, Ikulu Mjini Zanzibar jana,katika mpangilio wake wa kuzungumza na kila Wizara
ya Serikali ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na watendaji wa Wizara Afya katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana, katika mpangilio wake wa
kufanya mazungumzo na kila Wizara ya Serikali.
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na watendaji hao Ikulu Mjini Zanzibar,katika mpangilio wake wakuzungumza na kila Wizara ya Serikali ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na watendaji wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati, Ikulu Mjini Zanzibar,katika mpangilio wake wakuzungumza na kila Wizara ya Serikali ya Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.