Habari za Punde

Maadhimisho ya Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar Uwanja wa Amaan.






































5 comments:

  1. Safi sana!...yaani baada ya kuona picha..ni kama vile na mimi nilikuwepo! Thank you for the good work brother,..and god bless you!

    ReplyDelete
  2. hawa cuf hatuwaelewi kina Maalim Seif na wao washeherekea kwa kuuwawa kwa watu wasio na hatia. kweli hii HAKI SAWA KWA WOTEE!!!. Mtajibu nini kwa ALLAH?

    ReplyDelete
  3. Tusiwalaumu CUF kwani wao sio waloshika mpini,kujitenga kuteleta athari zaidi ya mafanikio tuone hapo wakishika hatamu iwapo watayaendeleza haya.

    ReplyDelete
  4. lazima tuwalaumu kwani Binaadam huna uhakika kama kesho utafika sasa je ukiondoka leo duniani utajibu nini kwa ALLAH?

    ReplyDelete
  5. Inaskitisha!..baada ya miaka 48 watu bado wanazungumzia nani alimuuwa nani..sielewi bila muungano Z'bar itakuwaje?

    Mimi nadhani sisi vijana hatutakiwi kurudi huko kurudi huko, bali tunatakiwa kuangalia tunaipelewi wapi Z'bar ya leo.

    Lazma tukubali waliouwawa wameuwawa na hatuwezi kuendelea kurudia maneno hayo hayo kila siku..inaleta chuki!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.