WAZIRI KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WA HABARI
SABASABA
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu,
Mhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea Banda la Bodi ya Ithibati ya Waandish...
1 hour ago
Safi sana!...yaani baada ya kuona picha..ni kama vile na mimi nilikuwepo! Thank you for the good work brother,..and god bless you!
ReplyDeletehawa cuf hatuwaelewi kina Maalim Seif na wao washeherekea kwa kuuwawa kwa watu wasio na hatia. kweli hii HAKI SAWA KWA WOTEE!!!. Mtajibu nini kwa ALLAH?
ReplyDeleteTusiwalaumu CUF kwani wao sio waloshika mpini,kujitenga kuteleta athari zaidi ya mafanikio tuone hapo wakishika hatamu iwapo watayaendeleza haya.
ReplyDeletelazima tuwalaumu kwani Binaadam huna uhakika kama kesho utafika sasa je ukiondoka leo duniani utajibu nini kwa ALLAH?
ReplyDeleteInaskitisha!..baada ya miaka 48 watu bado wanazungumzia nani alimuuwa nani..sielewi bila muungano Z'bar itakuwaje?
ReplyDeleteMimi nadhani sisi vijana hatutakiwi kurudi huko kurudi huko, bali tunatakiwa kuangalia tunaipelewi wapi Z'bar ya leo.
Lazma tukubali waliouwawa wameuwawa na hatuwezi kuendelea kurudia maneno hayo hayo kila siku..inaleta chuki!