Habari za Punde

Uganda Bingwa Mapinduzi Cup, Yaifunga Zambia 52-38

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Uganda Aparo Harriet (C) akijianda kutowa pasi golini kwa timu ya Taifa ya Zambi.  



 Mchezaji wa timu ya Taifa ya Uganda Nakachwa Hanma(WA) akijiandaa kutowa pasi.  
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Uganda Nanyonga Proscovia (GA) akidaka mpira katika mchezo wa Fainali wa Kombe la Mpinduzi uliofanyika uwanja wa Gymkhana timu ya Uganda imeshinda 52 -38. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.