Muwezeshaji wa Kongamano la kujadili Wanafunzi waliofutiwa mitihani yao ya kidatu cha Nne, Ali Saleh, akitowa changamoto kuhusu mjadala wa kujadili kitendo hicho.
Wazee wakimsikiliza Muwezeshaji Ali Saleh, akitowa mada kuhusu mkutono huo wa Kongamano hilo.
Mzezi wa mmoja wa Mwanafunzi alefutiwa mitihani Mzee Ali Hassan, akitowa maelezo katika kongamano hilo kuhusu mtoto wake, ambaye alikuwa akifanya vizuri tangu msingi na katika mitihani ya majaribio amefanya vizuri na kupata nafasi za juu.
No comments:
Post a Comment