Sheikh Bahero, kutoka Nchini Kenya Mombasa akitomawaidhi ya Dini ya Kiislam kuhusu Misingi ya Haki katika Uislam.Mdahalo huo umefanyika katika Masjid Sunna Rahaleo.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Sheikh Bahero, akitowa mada kuhusu msingi wa haki.
No comments:
Post a Comment