Afisa wa Hifadhi ya Msitu wa Jozani, akitoa maelezo kwa Kamati ya Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi kutembelea hifadhi hiyo ambayo hutowa huduma kwa Watalii wanaotembelea Msitu huo kuangalia Kima Punju.
Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Abdalla Mitawi, akitowa maelezo ya Tume kuhusu ufanyaji wake kazi wakati wziara ya Tume Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Habari na Utalii.
Kamati ya Baraza la Wawakilishi, wakitembelea Hoteli ya Bwawani kuangalia Bwawa la Kuogelea wakati wa Ziara ya Kutembelea Idara za Wizara ya habari.
No comments:
Post a Comment