Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hassan Moharam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana, kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hassan Moharam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA SH. BILIONI 185 KUTOKA CHINA
-
Na. Josephine Majura, WF, Dodoma
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Watu
wa China zimetia Saini mikataba miwili ya ms...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment