Waziri wa Mambo ya Ndani Shamsi Vuai Nahodha, akibadilishana mawazo wa wajumbe wezake wa baraza wakati wa mapumziko ya kikao cha asubuhi kuahirishwa.
Waziri wa Kilimo na Maliasi Mansoor Yussuf Himid, akimsikiliza Katibu Mkuu wake alipofika katika viwanja vya Baraza kuonananae Kikazi.
Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe (CCM) na Waziri wa Mambo ya Ndani Shamsi Vuai Nahodha, akibadilisha mawazo na Mwakilishi wa Mkuwajuni (CCM) Mbarouk Wadi Mussa, wakitoka katika ukumbi wa mkutana baada ya kuahirishwa kwa kikao cha asubuhi.
Mwakilishi wa Jimbo la Nungwi (CUF) na Naibu Waziri wa Ardhi Maji Makaazi na Nishati Haji Mwadin Makame, akisisitiza jambo alipkuwa akizungumza na Mwandishi wa gazeti la Nipashe Mwinyi Sadala wakiwa nje ya Ukumbi wa Baraza.
No comments:
Post a Comment