Habari za Punde

Ujumbe wa Mawaziri Uliokwenda China Kimafunzo Wakizungumza na Waandishi.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee, akizungumza na waandishi wa habari mafanikio waliyoyapata katika ziara yao ya Kimafunzo Nchini China na jinsi ya kuyafanyia kazi mafunzo hayo, mkutano huo umefanyika katika ukumbi mdogo wa baraza la wawakilishi Chukwani.
 Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee akizungumza katika mkutano huo uliofanyika ukumbi mdogo wa baraza chukwani.
 Maofisa wa Ubalozi Mdogo wa China Zanzibar wakiwa katika mkutano huo wa kutowa tathimini ya ziara ya China ya Kimafunzo kwa Waheshimiwa Mawaziri wa Serekali ya Mapinduzi  Zanzibar.
Mwandishi wa gazeti la Mwananchi Talib, akiuliza swali kwa Waziri wa Fedha, kuhusiana na ziara hiyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.