Wadau hawa wa mpira katika uwanja wa Mao wanastahili pongeze kwa ushabiki wa mchezo huu kila mechi wao wako na timu inayoshinda ndio yao.
Mchezaji wa timu ya Chuoni Ahmed Malik, akimiliki mpira huku beki wa timu ya Zimamoto Abdalla Mkubwa akijaribu kumzuiya katika mchezo wa ligi daraja la kwanza iliofanyika uwanja wa mao timu ya Zimamoto imeshinda 2-0
Mchezaji wa Chuoni akiokoa mpira galini kwake nsa huku mchezaji wa timu ya Zimamoto akijaribu kuzuiya mpira huo.
Mdau huu mpira au mieleka uwanjani akioneshana mchezaji wa timu ya Chuoni akiwa chini na huku mchezaji wa timu ya Zimamoto akiruka na kuambaa na mpira.
Kocha wa timu ya Chuoni Ali Bakari akiwa ameduwaa baada timu yake kufungwa na timu ya Zimamoto akitafakari uchezaji wa wachezaji wa timu yake katika mchezo wa ligi daraja la kwanza.
Mchezaji wa timu ya Chuoni Abubakar Ibrahim Kapeta, akimpita beki wa timu ya Zimamoto katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliofanyika uwanja wa mao timu ya Zimamoto imeshinda 2--0
Mchezaji wa timu ya Chuoni akimpita beki wa timu ya Zimamoto
Mchezaji wa timu ya Chuoni Abubakar Ibrahim Kapeta, akimpita beki wa timu ya Zimamoto Juma Ali,katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliofanyika uwanja wa mao timu ya Zimamoto imeshinda 2--0
No comments:
Post a Comment