Wanawake wa Kisiwani Pemba wakiwa katika Maandamano ya Kuunga Mkono siku ya Wanawake Duniani, wakipita mbele ya Mgeni wa Heshimi Waziri anayeshughulikia Muunganio Samiha Suluhu Hassan.wakiwa na mabago yenye ujumbe mbalimbali.
Waziri anayeshughulikia Muungano Samiha Suluhu Hassan akipokea maandamano ya Wanawake wa Kisiwani Pemba wakiadhimisha siku ya Wanawake Duniani.
Wanawake wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika Maandamano ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani, yaliofanyika katika Kijiji cha Makunduchi.
Wanawake wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa na mabango yao yenye ujumbe mbalimbali wakipita mbeli ya mgeni wa Heshima Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Wanawake na Watoto Msham Abdalla Khamis.
No comments:
Post a Comment