Beki wa timu ya Polisi Sijali Mohammed, akikokota mpira kuondoa golini kwao huku mchezaji wa timu ya Jamuhuri Ali Othman, akijaribu kumzuia katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao timu ya Jamuhuri imeshinda 3--0.
Beki wa timu ya Polisi Sijali Mohammed, akimpiga chenga mchezaji wa timu ya Jamuhuri Ali Othman.
Mchezaji wa timu ya Jamuhuri Juma Othman, akimpita beki wa timu ya Polisi Mohammed Salim, katka mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao Jamuhuri imeshinda 3--0.
Hapa hapiti mtu mpira utapita lakini sio mtu ndivyo inavyoonekana akisema mchezaji wa timu ya Polisi Mohammed Salim.
Wachezaji wa timu ya Jamuhuri wakishangilia goli lao la tatu na la ushindi katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment