Habari za Punde

Biashara na Tafakuri

 Mfanyabiashara ya matunda aina ya mapeas akitafakari mauzo ya biashara yake katika soko hilo la Mwanakwerekwe baada ya wateja wa bidhaa hiyo kupungua.
Hawa wafanyabiashara ya matunda mbalimbali katika soko la Mwanakwerekwe,wanaopanga bidhaa zao nje ya soko chini, wamejiandaa na mvua za masika zinazotarajiwa kunyesha  mwisho mwa mwezi huu. Kufanya biashara hiyo ikiwa chini itakuwa kero   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.